Thu, 14 Oct 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Simba SC itacheza siku ya Jumapili Oktoba 17, dhidi ya Klabu ya Jwaneng Galaxy kutoka nchini Botswana.
mechi hiyo ni katika kusaka nafasi ya kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Simba ambao ndio wawakilishi pekee wa Tanzania katika LIgi ya Mabingwa Afrika wataanzia ugenini.
Mchezo huo utapigwa katika dimba la Galaxy Stadium na watarudiana Oktoba 24, kwa Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Sasa wafahamu zaidi hawa Jwaneng Galaxy.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live