Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waendesha Mashtaka waomba Dani Alves aongezewe adhabu

Dani Alvess (16).jpeg Waendesha Mashtaka waomba Dani Alves aongezewe adhabu

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waendesha mashitaka kutoka nchini Uhispania ambao walikuwa wakisimamia kesi ya nyota wa zamani wa Brazil, Dani Alves wanataka mchezaji huyo aongezewe adhabu ya kifungo, huku wakidai kuwa adhabu hiyo aliyopewa ni ndogo.

Waendesha mashitaka hao wanampango wa kwenda kukata rufaa ili nyota huyo aongezewe kifungo kiwe kuanzia 9 hadi 12.

Wiki mbili zilizopita Dani alisomewa hukumu nchini Uhispania baada ya kukutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono, ambapo kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka minne na miezi sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live