Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wacongo wanamuogopa Msuva

Msuva Pic Data Simon Msuva

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yakiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo wa Tanzania dhidi ya DR Congo kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia utakaopigwa ka Mkapa Dar es Salaam.

Taarifa zinasema Wacongo hao wanamuogopa Simon Msuva kuliko mchezaji mwingine yoyote na ndio tishio katika mchezo wao.

Mwandishi wa habari za michezo kutokea Congo, Elisha Iragi amesema;

"Kuna mbwana Samatta amecheza hapa, amefanya makubwa na watu wanamjua lakini mtu tishio kwetu ni Simon Msuva mana pia ndie alietufunga katika mechi ambayo tulicheza Lubumbashi"

"Stars wako nyumbani wanacheza vizuri lakini wajue ushindi leo kwetu ni lazima kwa aina ya kikosi tulichonacho tunaibuka na ushindi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live