Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wasimamishwa kwa kuiunga mkono Palestina

Wachezaji Palestina Wachezaji wasimamishwa kwa kuiunga mkono Palestina

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wawili Youcef Atal wa Klabu ya Nice ya Ufaransa na Anwar El Ghazi wa klabu ya Mainz ya Uholanzi wamesimamishwa kazi na klabu zao mara baada ya kuweka ujumbe kwenye kurasa zao za mtandao wa Instagram ujumbe ambao unaiunga mkono Palestina.

Uongozi wa klabu ya Mainz ya Uholanzi umeeleza kuwa umemsimamisha kazi El Ghazi kwa sababu ujumbe/maoni yake hayaendani na maadili ya klabu.

Huku Nice wao wamemsimamisha Youcef Atal mpaka pale taarifa zaidi itakapotolewa na klabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live