Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wanaoongoza kwa kupewa kadi Ligi Kuu Bara

Kanoute Sadio Ss Wachezaji wanaoongoza kwa kupewa kadi Ligi Kuu Bara

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara leo Februari 3, 2023 inatarajiwa kuendelea tena kwa mzunguko wa 22 msimu huu wa mwaka 2022/23, huku Mnyama akimkaribisha Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Wachezaji wafuatao wanaongoza kwa kupata kadi nyingi zaidi za njano kwenye Ligi Kuu ikiwa leo inaingia kwenye mzunguko wa 22.

1. Sadio KanouteĀ  Simba SC ana kadi nane (8)

2. Mtenje Albano Coastal Union kadi nane (8)

3. Charles Ilanfya Mtibwa Sugar kadi saba (7)

4. George Sangija Mbeya City kadi saba (7)

5. Justine Bilaly Dodoma Jiji kadi saba (7)

6. Hashim Manyanya Namungo FC saba (7)

7. Salmin Hoza Dodoma Jiji kadi sita (6)

8. Emmanuel Asante Namungo kadi sita (6)

9. Juma Nyosso Ihefu SC kadi sita (6)

10. Mzamiru Yassin Simba SC kadi sita (6)

11. Kelvin Yondan Geita Gold kadi sita (6).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live