Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wanaoongoza kulipwa pesa nyingi Mamelodi

Bongani Zungu Wachezaji wanaoongoza kulipwa pesa nyingi Mamelodi

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jarida la Betcentral la Afrika kusini limeandika juu ya wachezaji ambao wanalipwa mkwanja mrefu zaidi ndani ya timu hiyo.

1.Bongani Zungu – Rand 700K sawa na Tsh Milioni 94

2.Ronwen Williams – R500K Sawa na Tsh Milioni 67

3.Denis Onyango – R450K Sawa na Tsh Milioni 61

4.Kennedy Mweene – R430K sawa na Tsh Milioni 58

5.Marcello Allende – R420K sawa na Tsh Milioni 56

6.Thapelo Morena – R400K Sawa na Tsh Milioni 54

7.Gaston Sirino – R400K Sawa na Tsh Milioni 54

8.Peter Shalulile – R400K Sawa na Tsh Milioni 54.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live