Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wagoma kurudi Uwanjani baada ya Mashabiki kupigwa risasi

Sdweden Vs Belgium Wachezaji wagoma kurudi Uwanjani baada ya Mashabiki kupigwa risasi

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi kati ya Belgium na Sweden umehairishwa baada ya wachezaji kugoma kurudi uwanjani kipindi cha pili kwa kile kilichotokea kabla ya mchezo huo kuanza ambapo inaelezwa kuna mashabiki wawili wa Sweden wameuwawa kwa kupigwa risasi

Mechi kati ya Belgium na Sweden umehairishwa baada ya wachezaji kugoma kurudi uwanjani kipindi cha pili kwa kile kilichotokea kabla ya mchezo huo kuanza ambapo inaelezwa kuna mashabiki wawili wa Sweden wameuwawa kwa kupigwa risasi Mamlaka ya soka ilitakiwa kuufuta mchezo lakini haikuufuta mchezo hivyo wachezaji wakaamua kugoma kurudi Uwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live