Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wa zamani kuwa waamuzi EPL

Howard Webb Mwamuzi wa zamani wa soka nchini England Howard Webb

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi wa zamani wa soka nchini England Howard Webb ametafuta wachezaji wa zamani 12 ambao watasomea uamuzi ili wawe waamuzi wa Ligi kuu soka England.

Webb anaamini wachezaji waliostaafu wataongeza hali ya kujiamini katika maamuzi kwa waamuzi wengine waliopo sasa.

Unadhani wachezaji wa zamani kuwafanya kuwa waamuzi kutapunguza makosa ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live