Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wa Wydad waomba jezi za Simba-Ahmed

Ahmed Ally 343 Wachezaji wa Wydad waomba jezi za Simba-Ahmed

Sat, 29 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba SC, Ahmed Ally amesema, kutokana na ubora waliouonesha wachezaji wa Simba kwenye mchezo wa Robo Fainali dhidi ya Wwydad Casablanca, wachezaji hao wa wapinzani walilazimika kuomba jezi za wachezaji wa Simba.

Akizungumza live akitokea Morocco, Ahmed alisema, mara baada ya mchezo huo kuisha, wachezaji wa Wydad walijazama kwenye eneo la kubadilishia jezi na kuomba jezi za mastaa wa Simba.

"Sijawahi kuona hii wachezaji wenyewe wa Wydad hawakuamini kilichotokea. Walijazana kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wakawa wanaomba jezi za Simba," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live