Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wa Simba, Yanga walioitwa timu za taifa

Simba Yanga192236 Wachezaji wa Simba, Yanga walioitwa timu za taifa

Sat, 2 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya NBC kwa sasa imesimama kupisha ratiba ya michuano ya CAF kwa timu za taifa kufuzu fainali za AFCON 2023.

Hawa ni wachezaji wa vilabu vya Simba na Yanga walioitwa mpaka sasa kwenye timu zao za taifa kwa ajili ya michuano hiyo.

Yanga SC (12)

01 ◉ Djigui Diarra — Mali

02 ◉ Metacha Mnata — Tanzania

03 ◉ Nickson Kibabage — Tanzania

04 ◉ Bakari Mwamnyeto — Tanzania

05 ◉ Ibrahim Bacca — Tanzania

06 ◉ Gift Fred — Uganda

07 ◉ Dickson Job — Tanzania

08 ◉ Khalid Aucho — Uganda

09 ◉ Jonas Mkude — Tanzania

10 ◉ Mudathir Yahya — Tanzania

11 ◉ Stephanie Aziz Ki — Burkinafaso

12 ◉ Clement Mzize — Tanzania

Simba SC (7)

01 ◉ Kennedy Juma — Tanzania

02 ◉ Mzamiru Yassin — Tanzania

03 ◉ Kibu Denis — Tanzania

04 ◉ John Bocco — Tanzania

05 ◉ Said Ntibazonkiza — Burundi

06 ◉ Clatus Chama - Zambia

07 ◉ Luis Miquesson - Msumbiji

Azam Fc (4)

01 ◉ Sospeter Banyana - Tanzania

02 ◉ Ali Ahamada - Comoro

03 ◉ Cheikh Sidibe - Senegal

04 ◉ Abdul Sopu - Tanzania

Singida Fountain Gate FC (3)

01 ◉ Marouf Tshakei - Togo

02 ◉ Duke Abuya - Kenya

03 ◉ Beno Kakolanya - Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live