Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji wa Man City watakaokuwepo kwenye Super Cup

Man City Wachezaji wa Man City watakaokuwepo kwenye Super Cup

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola ametangaza kikosi kitakachosafiri kuelekea Ugiriki siku ya leo ambacho kitaenda kucheza kwenye mchezo wa UEFA Super Cup dhidi ya Sevilla.

"Kyler Walker, Kalvin Philips, John Stones, Nathan Ake, Mateo Kovacic, Erling Haaland, Jack Grealish, Aymeric Laporte, Rodrigo, Stefan Ortega Moreno, Julian Alvarez, Sergio Gomez, Josko Gvardiol, Manuel Akanji, Ederson, Maximo Perrone, Scott Carson, Phil Foden, Oscar Bobb, Cole Palmer, Rico Lewis na James McAtee".

Kikosi hicho kitafanya mazoezi yake ya kwanza siku ya jumanne katika dimba la Karaiskakis nchini Ugiriki.

Manchester city wanatarajiwa kushuka dimbani siku ya Jumatano ambapo watakutana dhidi ya Sevilla katika dimba la Karaiskakis nchini Ugiriki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live