Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji Yanga vilaza, wachemka kutaja jina la Staa huyu (+Video)

Pacome Jina Kambini Wachezaji Yanga vilaza, wachemka kutaja jina la Staa huyu

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majuma mawili yaliyopita Yanga walitangaza kunasa saini ya MVP wa Ligi Kuu ya nchini Ivory Coast Pacôme Zouzoua kutokea ASEC Mimosas ya nchini Ivory Coast.

Sasa Tangu kuwasili kwa Staa huyo mpya katika kikosi cha Yanga, kumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa namna ya kutamka jina la pili la Staa huyo.

Sio kwa Mashabiki wala wachezaji wenzake walio nae katika Kambi ya Yanga iliyopo Avic Town Kigamboni.

Sasa Tazama video hii hapa chini uone wachezaji wa Yanga wanavyopata tabu kutamka jina la pili la nyota huyo

View this post on Instagram

A post shared by Sports Arena (@sportsarena_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: