Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji Taifa Stars wakamatwa na ngozi?

Taifa Stars Aco1Y.jpeg Wachezaji Taifa Stars wakamatwa na ngozi?

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anayechelewesha msafara siku zote ni ng'ombe wa mbele laki viboko atachapwa wa nyumba.

Taifa stars imecheza mchezo wake wa kwanza wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Ethiopia ambao waliingia na plan nzuri kwenye game hii ikapelekea kutoka 0-0 sio kwamba stars walikuwa wabaya lakini ni matoke ya kimpira kokote yanatokea.

Ajabu sana kuona wengi wao hawaoni kizuri kilichofanywa na kikosi na kusema wanamtaka Msuva , wanamtaka Samatta lakini vipi zile kauli Samatta hana mchango wowote vipi zile kauli za kusema tuwaache WA nje tutaweza huku wenyewe, inamaana hatuoni umuhimu wa baadhi ya wachezaji Hadi wakosekane kwenye kikosi?

Lawama eti anapewa kocha kataka mwenyewe matokeo, lakini vipi hamasa iliyofanywa je walifika wangapi kuwapa nguvu wachezaji?

Hawa Ethiopia ndio hawa tukitoka sare nao mara 3 Jana ya 4 tumeshinda mbele yao mara 3 inamaana tumecheza nao mara 7 inamaana wapi vizuri sio wabaya tusiwape lawama wachezaji ,kocha na TFF kwa ujumla kwani Kila mwananchi unahitajika mchango wake kwenye timu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live