Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji Napoli wakosa kitita cha Bilioni 28 baada ya kichapo

Napoli Vs Barcaaaaa Wachezaji Napoli wakosa kitita cha Bilioni 28 baada ya kichapo

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa klabu ya Napoli wamekosa zaidi ya €10 Million [ TZS Billion 28] ambayo waliahidiwa na mmiliki wa klabu hiyo Aurelio De Laurentiis kama wangefanikiwa kuiondosha Barcelona kwenye hatua ya 16 ya Ligi ya mabingwa Ulaya.

"Niliweka zaidi ya Dola Million 10." alisema Aurelio De Laurentiis

Napoli ilitoa sare mchezo wa kwanza ikiwa nyumbani [1-1] na jana wakiwa Camp Nou walipoteza kwa goli 3-1 na hivyo klabu hiyo kuondoshwa kwa idadi ya magoli 4-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live