Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji Kenya kuoga noti

Harambee Stars 2023 Noti.png Wachezaji Kenya kuoga noti

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Michezo Nchini Kenya, Ababu Namwamba ameahidi timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars kiasi cha KES 2.5 milioni (Tsh MILIONI 40.9 za kibongo) kwa kila alama 3 watakazo zipata katika kila mechi wakati wa michezo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026,

Ratiba ya timu ya taifa ya Kenya kwa kundi lake F ni:

Vs Gabon

Vs Shelisheli

Vs Ivory Coast

Vs Gambia

Vs Burundi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live