Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji Jamaica walalamika kupewa jezi za Timu ya Wanawake

Leon Bailey Forward wa Aston Villa Leon Bailey

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Forward wa Aston Villa Leon Bailey ameuponda uongozi wa timu ya taifa ya Jamaica akisema timu hiyo imejaa ubabaishaji.

“Unafika kambini hakuna jezi au ikiwepo ndio hiyo hiyo Moja,kuna wakati unapewa jezi ya timu ya wanawake,

“Hatujawahi kulipwa posho na kambini mtu yoyote abaruhusiwa kuingia wala hakuna heshima ya kambi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live