Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji Chelsea wazua taharuki

Chelsea Beat Spurs Wachezaji Chelsea wazua taharuki

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka ndani ya Chelsea zinadai kuwa kutokana na muendelezo wa matokeo mabovu klabuni hapo pamoja na namna wamiliki wapya wanavyoiendesha chelsea kwa sasa, baadhi ya wachezaji hawako tayari kuendelea na Chelsea na wako tayari kulazimisha uongozi kuruhusiwa kuondoka kwenye kipindi cha dirisha dogo lijalo!

Taarifa kutoka ndani ya Chelsea zinadai kuwa kutokana na muendelezo wa matokeo mabovu klabuni hapo pamoja na namna wamiliki wapya wanavyoiendesha chelsea kwa sasa, baadhi ya wachezaji hawako tayari kuendelea na Chelsea na wako tayari kulazimisha uongozi kuruhusiwa kuondoka kwenye kipindi cha dirisha dogo lijalo! Wakati chelsea ikiendelea kupambana kuweka mambo sawa, inaripotiwa pia kuwa klabu itakuwa haiko tayari kuwaruhusu wachezeji hao kuondoka darajani kwa sababu wachezaji wengi wapya waliweka mikataba mirefu wekine miaka 8 kubakia klabuni hapo hivyo itakuwa sio rahisi uongozi kuwaacha waende hata kama mambo yatazidi kwenda kombo!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live