Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji 8 EL Merreikh out mechi ya Simba

Al Merreikh 1ly7nfy8eokpf1r2qp05ugnwxl Wachezaji 8 EL Merreikh out mechi ya Simba

Wed, 17 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Wachezaji 8 wa Al Merrekh wamethibitishwa kuwa na Virusi vya Corona. Hii itapelekea kukosa mchezo wao dhidi ya Simba utaochezwa leo saa 10 jioni.

Wachezaji hao ni Abdul Rahman Karango, Al Taj Yaqoub, Bakhit Khamis, Ramadan Wonder, Tony, Bakri Al Madina, Saif Al Damazin na Imad Abdel Moneim.

Klabu ya Al Merrikh imeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa hizi ni jitihada za Makusudi za Simba za kutaka kuwakwamisha.

SIMBA SC WAMEWASILI KWA MKAPA WAKIWA KAMILI KUIKABILI EL MERREIKH

Chanzo: millardayo.com