Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji 4 tu wa Yanga wanaweza kuanza Mamelodi - Hans Rafael

Hans Rafael Wachezaji wanne tu wa Yanga wanaweza kuanza Mamelodi - Hans Rafael

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi Hans Rafael amesema kwa mtazamo wake, ni wachezaji wanne tu wa Yanga SC wanaoweza kuanza katika kikosi cha Mamelodi Sandowns.

“Kauli ya Ali Kamwe inafikirisha kidogo na sijajua amelenga eneo gani lakini kwa upande wangu ni Wachezaji wanne tu wa Yanga ndio wanaweza kuanza kikosi cha Mamelodi Sundowns,” alisema Hans Rafael.

Wachezaji hao wanne ambao Hans amewataja ni Joyce Lomalisa, Ibrahim Bacca, Aziz Ki na Pacome.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live