Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji 13 Man United kuikosa Liverpool wikiendi hii

Maguire Shaw.png Wachezaji 13 Man United kuikosa Liverpool wikiendi hii

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United watacheza game yao ya EPL mwishoni mwa wiki dhidi ya Liverpool bila ya uwepo wa nyota wake 13.

Mchezo huo wa Ligi Kuu England utapigwa katika Dimba la Anfield nyumbani kwa Liverpool na wachezaji hao wataukosa mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali.

Walioumia ni

Maguire

Shaw

Mount

Martinez

Casemiro

Eriksen

Lindelof

Diallo

Malacia

Martial

Rashford

Fernandes (Kadi za njano)

Sancho (Ugomvi na Kocha)

Mechi mbili za mwisho United kukanyaga Anfield wamekubali kuruhusu mabao 11 (7-0) na nyingine ni (4-0).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live