Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wachezaji 11 wa Tanzanite Wakutwa na Corona

Wachezaji Tanzanite Tanzanite

Sat, 18 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka la Tanzania limeripoti kuwa wachezaji 11 wa Timu ya Taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 'Tanzanite' na viongozi watano wa benchi la ufundi wamekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo kikosi kimesaliwa na wachezaji 9 tu. Tanzanite wapo nchini Burundi kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live