Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wacha Pochettino nae ajaribu

Mauricio Pochettino Atatoboa Mauricio Pochettino

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Majuzi Mauricio Pochettino alichukua kibarua cha kuinoa Chelsea kutoka kwa Frank Lampard na kazi hiyo atainza rasmi msimu ujao 2023/24.

Kama ulikuwa hufahamu chukua hii! Mauricio Pochettino anakuwa kocha wa tano kuchukua mikoba ya kuinoa Chelsea na Spurs kwenye Ligi Kuu England baada ya André Villas-Boas, Antonio Conte, Glenn Hoddle na Jose Mourinho huku akiwa na wastani wa kushinda pointi 1.89 kwa kila mchezo alioiongoza Spurs EPL.

Je Pochettino atafanikiwa ndani ya Chelsea?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live