Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wababe wa Yanga wachapika Uwanja wa Uhuru

IMG 6833.jpeg Wachezaji wa KMC wakishangilia bao la ushindi dhidi ya Ihefu

Sat, 7 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la Ibrahim Elias dakika ya 58 limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya nne, wakati Ihefu SC inabaki na pointi zake sita nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi tano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: