Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wababe wa Yanga wabanwa mbavu nyumbani

Ihefu.jpeg Wababe wa Yanga wabanwa mbavu nyumbani

Sat, 21 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya.

Wenyeji Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Highland Estate, Mbarali mkoani Mbeya. Kwa matokeo hayo, Ihefu SC inafikisha pointi saba na kusogea nafasi ya nane, wakati Coastal Union inafikisha pointi tatu na inabaki nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: