Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waarabu wanyoosha mikono Man United

Sheikh Jasmini Sheikh Jassim

Sun, 15 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchakato wa uuzwaji wa klabu ya Manchester United umeingia sura mpya baada ya mnunuzi aliyekuwa mstari wa mbele kwenye kinyang'anyiro cha kuichukua klabu hiyo, Sheikh Jassim kujiondoa baada ya ofa yake mpya kutupiliwa mbali na wamiliki wa klabu hiyo familia ya Glazers.

Wahusika wa karibu wa Sheikh Jassim wamegoma kufichua undani wa habari hizo kwa madai ya vizuizi vya faragha lakini wamethibitisha kujiondoa kwenye mchakato wa kuinunua klabu hiyo.

Sheikh Jassim ndiye alikuwa mnunuzi pekee aliyetaka kuinunua klabu hiyo jumla huku Sir Jim Ratcliffe akitaka kununua sehemu ya hisa za Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live