Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waarabu wamwaga mkwanja kwa Mbappe

Kylian Mbappe 1.jpeg Al Hilal wamwaga mkwanja kwa Mbappe

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Hilal ya Saudia ipo tayari kumpa ofa ya mshahara wa €400m kwa mkataba wa miaka miwili Kylian Mbappe kumsajili kwa ada ya €200m ambayo PSG iko tayari kuikubali ofa hiyo kama tu Mbappe hatosaini mkataba mpya Kufikia Julai 31.

Klabu ya Al Hilal ya Saudia ipo tayari kumpa ofa ya mshahara wa €400m kwa mkataba wa miaka miwili Kylian Mbappe kumsajili kwa ada ya €200m ambayo PSG iko tayari kuikubali ofa hiyo kama tu Mbappe hatosaini mkataba mpya Kufikia Julai 31. Mbappe amekuwa kwenye mgogoro na timu yake hiyo huku akishinikiza kuuzwa kabla dirisha la usajili halijafungwa jambo ambalo limesababishwa akaachwa hata kwenye kikosi kilichokwenda pre-season.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live