Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waarabu wampandishia dau Kevin De Bruyne

KDB DD Kiungo wa Man City, Kevin de Bruyne

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa mtandao wa Football Insider unaeleza kuwa Vilabu vya Saudi Pro League nchini Saudi Arabia vimejiandaa kutoa zaidi ya pauni milioni 100 ili tu waweze kumsajili kiungo wa kati wa Ubelgiji, Kevin De Bruyne, kutoka Manchester City.

Kwa mujibu wa mtandao wa Football Insider unaeleza kuwa Vilabu vya Saudi Pro League nchini Saudi Arabia vimejiandaa kutoa zaidi ya pauni milioni 100 ili tu waweze kumsajili kiungo wa kati wa Ubelgiji, Kevin De Bruyne, kutoka Manchester City. Man City hawana nia ya kumuachia kiungo huyo lakini kiwango cha pesa kilichowekwa miezani huenda kikawashawishi kumuuza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live