Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waarabu waitisha kikao kumjadili Benzema

Benzema Ahusishwa Na Ugaidi Karim Benzema

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika siku za karibuni fununu zilitikisa ulimwengu wa soka ya kwamba mshambulizi wa Ufaransa Karim Benzema mwezi Januari alikuwa akijaribu kuhitimisha kandarasi yake kama mchezaji wa Al-Ittihad ya Saudia.

Katika siku za karibuni fununu zilitikisa ulimwengu wa soka ya kwamba mshambulizi wa Ufaransa Karim Benzema mwezi Januari alikuwa akijaribu kuhitimisha kandarasi yake kama mchezaji wa Al-Ittihad ya Saudia. Lakini taarifa ikufikie kuwa mchezaji huyo yuko kwenye mazungumzo na klabu hiyo ya Saudi Pro League, ambayo bado inataka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 aendelee kubakia kwa msimu mwingine.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live