Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waarabu waishika pabaya Liverpool, Salah atabaki?

Mo Salah 2 Mohammed Salah

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambulizi wa Liverpool Mohamed Salah, 31, ndiye mchezaji mwingine anayesakwa na Saudi Pro League baada ya kuwasili kwa Karim Benzema na N'Golo Kante.

Mshambulizi wa Liverpool Mohamed Salah, 31, ndiye mchezaji mwingine anayesakwa na Saudi Pro League baada ya kuwasili kwa Karim Benzema na N'Golo Kante. Vilabu vya Saudi Arabia vimeanza kwa kasi kufukuzia saini za mastaa wa Ulaya wakiwa tayari washamnyakua Cristiano Ronaldo, Neves, Koulibaly na wengine wengi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live