Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waarabu sasa wamgeukia Ngolo Kante

Ngolo Kante.png Kiungo wa Chelsea, Ngolo Kante

Tue, 6 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa timu mbili za Saudi zinamuhitaji Kiungo N'golo Kante anayekipiga katika klabu ya Chelsea.

Unaambiwa timu mbili za Saudi zinamuhitaji Kiungo N'golo Kante anayekipiga katika klabu ya Chelsea. Klabu hizo ni Al Ittihad (alipoenda Benzema) pamoja na Al Nassr (anapocheza Ronaldo) ambao wameweka kiasi cha Pauni Milioni 100.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live