Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waamuzi wa Tanzania kuamua mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Arajiga X Frank Komba Waamuzi wa Tanzania kuamua mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waamuzi wa Tanzania Arajiga Ahmed, Frank Komba, Kassim Mpanga na Ramadhan Kayoko wameteuliwa na FIFA kuwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, Cameroon dhidi ya Mauritius utakaochezwa Novemba 17, 2023

Chanzo: www.tanzaniaweb.live