Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waamuzi wa FIFA kuamua Ndondo Cup

KAYOKO MER.jpeg Ramadhani Kayoko.

Sat, 2 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waamuzi wa FIFA Ramadhani Kayoko na Frank Komba na Sudi Lilla wanatarajiwa kuchezesha fainali ya NDONDO CUP kesho Jumapili katika Uwanja wa Kinesi.

Fainali itawakutanisha baina ya MADENGE Vs KIBANGU RANGERS.

Unaambiwa historia ya NDONDO CUP hakuna timu imewahi kubeba ubingwa huo mara 2 mfululizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live