Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vurugu, matusi na kejeli hazijawahi kujenga - Ahmed Ally

Kama Hujanunua Tiketi Usiende Uwanjani   Ahmed Ally Vurugu, matusi na kejeli hazijawahi kujenga - Ahmed Ally

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amezungumza na wanasimba kupitia ujumbe wa maandishi.

Ahmed amewaambia mashabiki wawe watulivu katika kipindi hiki wanachopitia.

"Utulivu na Subira ndo silaha ya kutambua na kutatua changamoto zinazotukabili. Vurugu matusi na kejeli hazijawahi kujenga chochote na popote katika hii dunia."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live