Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viwanja vipya vya kisasa kujengwa nchini

Kiwanja Ret Viwanja vipya vya kisasa kujengwa nchini

Tue, 13 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa utamaduni sanaa na michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma jana wakati wa utoaji tuzo za TFF amesema kutakuwa na ujenzi wa viwanja vipya viwili vya kisasa katika mikoa ya Arusha na Dodoma kabla ya mwaka 2027.

Aidha aliongeza kuwa kutakuwa na ukarabati wa viwanja saba ambavyo ni;

Benjamini Mkapa Stadium

Karume Stadium

Uhuru Stadium

Jamhuri Stadium Dodoma

Mkwakwani Stadium

Sokoine Stadium

Kirumba Stadium.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live