Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viti vyote kwa Mkapa kung'olewa

Viti Vyote Kwa Mkapa Kung'olewa Viti vyote kwa Mkapa kung'olewa

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesema viti vyote 60,000 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa vitaondolewa na kuwekwa vipya.

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza hatua hiyo ni mwendelezo mpango wa ukarabati wa uwanja huo ambao utakamilika mwezi Agosti mwaka huu.

“Kama kutakuwa na ongezeko la muda tutawajulisha,”amesema Msigwa.

Akizungumza na Wasafi FM, Msigwa amesema baada ya kukamilika uwanja huo utatengenezewa utaratibu mpya wa kiuongozi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live