Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VitalO ndiyo mabingwa wa Burundi

FB IMG 1713763831053 VitalO ndiyo mabingwa wa Burundi

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya VitalO FC ndiyo ambayo imetawazwa kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu Burundi msimu wa 2023/2024 baada ya kutoka sare ya 2-2 na Rukinzo.

VitalO FC walikuwa wanahitaji alama moja tu ili waweze kutangazwa Mabingwa wa Ligi Kuu baada ya kupita miaka nane wakiwa hawajabeba Kombe hilo.

Hadi kufikia sasa wamefikisha jumla ya Makombe 21 ikiwa ndiyo klabu ya kwanza yenye historia ya kuwa na Makombe mengi nchini Burundi.

Ndiyo klabu pia ambayo imewahi pia kubeba Kombe la CECAFA Kagame Cup mwaka wa 2013.

VitalO FC imebeba kombe hilo ikiwa na alama 69 zikiwa zimebaki mechi mbili ili Ligi iweze kumalizika,ikiizidi timu ya pili Flambeau du Centre alama sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live