Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vita ya wababe NBA

NBA Top Vita ya wababe NBA

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni California showdown kwa Sacramento Kings wakiwakaribisha Los Angeles Clippers katika uwanja wa Golden 1 Center

Kings watakuwa wakisaka ushindi wa nne mfululizo dhidi ya Clippers.

Je Clippers watakubali kupiga mara ya nne ama watakataa unyonge?

Boston Celtics watakipiga na Philadelphia 76ers pale TD Garden

76ers wanaingia katika mchezo huu wakitoka kupata ushindi mzito wa 138 - 94 dhidi ya LA Lakers wakati Celtics wakishinda dhidi ya Bulls kwa vikapu 124 - 97.

Je, ni Celtics ama 76ers nani kuendeleza ushindi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live