Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vipigo mfululizo, Tuchel awapa mapumziko Wachezaji wake

Bayern Mapumziko Vipigo mfululizo, Tuchel awapa mapumziko Wachezaji wake

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba, Thomas Tuchel amewapa mapumziko wachezaji wake baada ya kupoteza mechi 3 mfululizo.

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba, Thomas Tuchel amewapa mapumziko wachezaji wake baada ya kupoteza mechi 3 mfululizo. Lengo ni kuwafanya waondokane na mawazo ya vipigo hivyo kwa kukutana na familia zao kabla ya mchezo muhimu dhidi ya RB Leipzig Jumamosi,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live