Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vipers, Horoya hakuna mbabe Uganda

Vipers Vs Horoya Ft Mchezo umemalizika kwa sare ya bila kufungana

Sat, 18 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vipers ya Uganda imebanwa uwanja wao wa nyumbani nchini Uganda baada ya kutoka suluhu (0-0) dhidi ya Horoya AC ya Guinea.

Matokeo hayo yanaifanya Horoya kuwa na pointi 4 katika kundi C ambalo wapo na Simba na Raja Casablanca.

Vipers katika mchezo wa leo wamejikuta wakimaliza mchezo wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao I. Mubiru kuoneshwa kadi nyekundu dakika ya 78.

Simba ndio Timu pekee kutoka kundi C ambayo haina alama mpaka sasa na wapo Uwanjani kupepetana na Raja Casablanca.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live