Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viongozi Simba, Yanga kukamata uongozi Bodi ya Ligi

Pjimage (44) Viongozi wa Klabu za Simba na Yanga

Tue, 19 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeviti wa klabu kongwe nchini, Murtaza Ally Mangungu wa Simba SC na Dk Mshindo Mbette Msolla wamejitokeza kuwania Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).

Wawili hao ni kati ya wagombea watatu tu waliopitishwa katika nafasi ya Uenyekiti pamoja ma Mwenyekiti wa sasa, Steven Jarvis Mnguto wa Coastal Union ya Tanga.

Uchaguzi wa TPLB umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi ujao baada ya usaili utakaofanyika kati ya Novemba 26 na 28, mwaka huu.

Taarifa ya Kamati ya Uchaguzi TFF

Chanzo: www.tanzaniaweb.live