Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vinicius asaini Mkataba mpya Real Madrid

Vinicius Jr Sign New Contract Vinicius Jr

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi wa tuzo ya amani Duniani (Socrates Trophy) Vinicius Junior Jana Oktoba 31 ameongeza mkataba wa miaka mitatu (3) kuendelea kuitumikia klabu ya Real Madrid.

Mshindi wa tuzo ya amani Duniani (Socrates Trophy) Vinicius Junior Jana Oktoba 31 ameongeza mkataba wa miaka mitatu (3) kuendelea kuitumikia klabu ya Real Madrid. Vinicius amekuwa na wakati mzuri akiwa ndani ya kikosi cha Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live