Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vinicius Jr mchezaji Bora Real Madrid vs Bayern

GNFne9LWEAAJGDd.jpeg Winga wa Real Madrid, Vinicius Jr

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Real Madrid, Vinicius Jr ndiye mchezaji bora wa mechi ya jana ya nusu Fainali ya Uefa Champions League kati ya Real Madrid dhidi ya Bayern Munich.

Katika Mchezo huo Real Madrid waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 na kutinga hatua ya Fainali.

Je, unadhani Vinicius alistahili kupata tuzo hiyo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live