Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vinicius Jr apewa Ballon D'or Ulaya

Vini Jr Ballon Dor Vinicius Jr

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino perez ameweka wazi kuwa, nyota wa klabu hiyo Vinicius Jr anastahili kutwaa tuzo ya Ballon D'or ya mwaka huu kutokana na ubora aliouonyesha msimu huu.

"Vin anastahili kutwaa tuzo ya Ballon D'or msimu huu, hilo halina ubishi." Perez, Rais wa klabu ya Real Madrid.

Vin ameisaidia klabu yake kutwaa taji la Ligi kuu nchini Hispania [LALIGA] na baadae jana ameisaidia klabu hiyo kutwaa taji la Ulaya [UEFA] mbele ya BVB.

Je, Vin anastahili kutwaa tuzo hii_______?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live