Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vinicious alivyoisambaratisha Chelsea Santiago Bernabeu

Skysports Real Madrid Trevoh Chalobah 6119594 Vinicius Jr akimpa tabu mchezaji wa Chelsea

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Real Madrid Vinicius Junior amekuwa na kiwango bora kila siku zinavyokwenda na juzi Jumatano katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa aliibuka nyota baada ya kufanya kazi kubwa iliyowafanya Chelsea kupoteza mechi hiyo kwa mabao 2-0.

Takwimu za Vinicius Junior dhidi ya Chelsea

Dakika 90

Pasi ya bao 2

Kugusa mpira x 65

Pasi sahihi 29

Pasi muhimu 4

Krosi 5

Mashuti yaliyolenga goli 2

Chenga zilizofanikiwa 4

Mipira ya kugombania aliyoshinda 8

Faulo alizochezewa 2

Amehusika katika mabao ishirini (20) katika michezo 20 iliyopita ya UEFA Champions League

Mechi 20

Mabao 10

Pasi za mabao 10

Amefunga mabao 22 katika mashindano yote msimu huu, ni mabao mengi zaidi kuwahi kuyafunga ndani ya msimu mmoja katika career yake. (msimu uliopita 21).

Amehusika katika mabao 35 katika mashindano yote msimu huu, zaidi ya mchezaji mwingine yeyote wa La Liga.

Amehusika katika mabao 10 Katika michuano ya Uefa Champions League msimu huu, ni Erling Haaland pekee aliyehusika katika mengi (12) kuliko yeye.

Takwimu zake katika michuano ya Uefa Champions League msimu huu hadi sasa

Mechi 9

Ameanza mechi 8

Dakika alizocheza 705

Mabao 6

Pasi za mabao 4

Amehusika katika mabao 10

Dakika kwa kila bao 118

Chanzo: www.tanzaniaweb.live