Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vini Jr kuanza kuvaa jezi namba 7

Madrid New Numbers (102) Vini Jr kuanza kuvaa jezi namba 7

Wed, 14 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wingawa Real Madrid Vinicius Jr ataanza kuvaa jezi namba 7 kuanzia msimu ujao katika kikosi cha Real Madrid.

Jezi hiyo ambayo ina historia kubwa katika klabu ya Madrid mara ya mwisho ilivaliwa na Cristiano Ronaldo ambae alifanya makubwa akiwa na jezi hyo.

Kabla ya mabadiliko hayo Vinicius alikuwa anavaa jezi nambari 20.

Mabadiliko hayo ni kwa Winga Rodrigo pia na yeye ambaye atakuwa akivaa namba 11 mgongoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live