Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vini Jr Mchezaji Bora UEFA

Vini Jr UEFAAA Winga wa Real Madrid, Vinicius Jr

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

UEFA imemchagua Winga hatari wa Klabu ya Real Madrid,Vinicius Jr kuwa Mchezaji bora wa Msimu wa 2023/24 wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kuisaidia Klabu yake kutwaa Ubingwa wa kombe hilo.

UEFA imemchagua Winga hatari wa Klabu ya Real Madrid,Vinicius Jr kuwa Mchezaji bora wa Msimu wa 2023/24 wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kuisaidia Klabu yake kutwaa Ubingwa wa kombe hilo. Vini Jr alifunga bao 1 katika mchezo wa Fainali dhidi ya Dortmund mchezo uliopigwa Wembley Juni 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live