Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vinara wa kufumania nyavu Klabu Bingwa Afrika

Shalulile Vinara wa kufumania nyavu Klabu Bingwa Afrika

Mon, 24 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Ligi ya Mabingwa Afrika ikitamatika kwa michezo ya hatua ya kwanza ya ya Robo Fainali.

Tayari baadhi ya timu zimeshantanguliza mguu mmoja ndani kutinga nusu Fainali lakini hapa tunakuletea Orodha ya wapichikaji mabao mpaka sasa;

5—Peter Shalulile (Mamelodi)

5—Hamza Khabba (Raja AC)

4—Jean Baleke (Simba SC)

4—Cassius Mailula (Mamelodi)

4—Clatous Chama (Simba SC)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live