Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vinara wa kucheka na nyavu Ligi Kuu, Yanga watawala

Lusajo Top Kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Reliant Lusajo

Thu, 24 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara imekamilisha mechi 15 za mzunguko wa Kwanza jana Februari 23.

Reliant Lusajo kutoka Namungo FC ndio anaeobgoza orodha ya wafungaji akiwa na magoli 10.

Orodha hiyo imetawaliwa sana na wachezaji wa Yanga ambao wamefumania nyavu kwa kiasi kikubwa.

Hii hapa Orodha ya wanaoongoza kwa ufungaji;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live