Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vilio, manung'uniko, masononeko Simba sasa baasi - Ahmed Ally

Ahmed Ally 5 Nov Vilio, manung'uniko, masononeko Simba sasa baasi - Ahmed Ally

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ahmed Ally, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC amewaambia mashabiki kwamba baada ya kocha wao mpya Abdelhak Benchikha kutua, sasa hakutakuwa tena na manung'uniko.

Ahmed ameyasema hayo leo Novemba 28, alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM.

"Kwa kocha huyu, yale manung'uniko, vilio, masononeko na manyanyaso mbalimbali ambayo mashabiki walikuwa nayo sasa yamefikia mwisho," Ahmed Ally.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live