Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vilabu Sauzi vyapigana vikumbo kusaka saini ya Aziz KI

Aziz Ki WA0000 Vilabu Sauzi vyapigana vikumbo kusaka saini ya Aziz KI

Tue, 9 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jarida la KickOff la nchini Afrika kusini limethibitisha kuwa klabu ya Orlando Pirates imeulizia uwezekano wa kumpata kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Stephanie Aziz Ki ambaye mkataba wake na klabu hiyo unafikia ukingoni mwishoni mwa msimu huu.

Jarida la KickOff la nchini Afrika kusini limethibitisha kuwa klabu ya Orlando Pirates imeulizia uwezekano wa kumpata kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Stephanie Aziz Ki ambaye mkataba wake na klabu hiyo unafikia ukingoni mwishoni mwa msimu huu. Orlando wanaongoza mbio za kuipata saini ya Ki huku wapinzani wao wakubwa Kaizer Chiefs na Mamelodi Sundowns wakionyesha nia kubwa ya kuhitaji saini ya mchezaji huyo kutokea nchini Burkinafaso.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: